
Furaha Harmonize
Bomboclaat
♪
Kondeboy, call me "number one"
♪
Ya dunia mengi
Leo nimegundua utofauti
Kati ya raha na Furaha
♪
Do you know that?
♪
Hii dunia ina mamboo
Eti kumbe kuna utofauti
Kati ya raha na Furaha
♪
Kale ka distance
Bebi sikuoni
Eti nikajiona nisha move on
Utadhani naenjoy
Pombe zimenichosha niko hoi
Dunia inasiri
Sio kila anae kula raha
Moyoni mwake ana furaha
Lord, have mercy
♪
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Kule nilipata raha ila nikagundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua
Furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa
Naomba unizike wewe
Mi nawewe
♪
Siri ya nini
Acha nikwambie
Moyo wangu unatamba nao
Na wasikutishie
Wengine wanautaka wao
Ni lazima waichukie
Hii couple sio level zao
Asubuhi tukigombana
Usiku ndio wapatanao
♪
Kale ka distance
Bebi sikuoni
Eti nikajiona nisha move on
Utadhani naenjoy
Pombe zimenichosha niko hoi
Dunia inasiri
Sio kila anae kula raha
Moyoni mwake ana furaha
Lord, have mercy
♪
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Kule nilipata raha ila nikagundua
Furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua
Furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa
Naomba unizike wewe
Mi nawewe
♪
It's Kondeboy. Call me "number one"
Bakhresa
Konde music worldwide
Mama cita
Tekero tokara mi amor
- Інформація...
- ВиконавецьHarmonize
- НазваFuraha
- Рік:2025
- ЛіцензіяZiiki Media
- Дані02:45 • 6.34 Mb • 320 kbps
- Прослухали20
- Додано28 грудня 2025